المدة الزمنية 13:25

Mambo muhimu katika kusifu na kuabudu.By Boaz

بواسطة Seth Nyenzi TV
184 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/05/10

Mtumishi wa Mungu Boaz kutoka Kanisa la TAG Nyegezi Mwanza ni mwimbaji wa nyimbo za rohoni. Mtumishi Boaz alipata nafasi ya kulitembelea kanisa la EAGT Posta B mabatini,yeye pamoja na mke wake ambaye walaipata nafasi ya kuhudumia na neno watu wa Mungu.Baada ya Ibaada kukamilika mtumishi wa Mungu huyu alipata nafasi ya uzungumza na timu ya kusifu na kuabudu ya hapo kanisani. Mungu ainukliwe sana.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0