المدة الزمنية 34:9

Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 3/5

بواسطة Abd Binm
402 739 مشاهدة
0
1.4 K
تم نشره في 2012/10/30

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 307
  • @
    @salehrasta91654 years ago Yaa Allah nakuomba mrehemu shek ilunga na uwarehemu waislamu wote walotangulia mbele ya haki na sisi utupe mwisho mwema,aamin. 26
  • @
    @husseinramadhan35155 years ago Maandiko yanasema sema u kweli japokua mchungu Allah akulipe sheikh kwa u kweli uliosema bila kuwa na hofu ya viumbe 13
  • @
    @allyfatma7359last year Allah akupumzishe pema.
    Hazina imepotea😭😭🙏
    4
  • @
    @mzeebaba36325 years ago Dah huyu sheikh Allah ampe makazi mema huko alipo, kwa kweli yuko vizuri sana. 36
  • @
    @zainabrashid3854 years ago Allah mlaze shekhe wetu ilunga pepon amiina 6
  • @
    @wachugypsumtz20615 years ago May Allah grant u Firdaus Sheikh Ilunga...Ur words will last Forever. 25
  • @
    @mwaramimwarami14792 years ago Allah akurehem shekh ilunga,mlikuwa wachache sana duniani 5
  • @
    @othmanmasilamba38444 years ago Allah akurehem baba yangu ilunga...... 13
  • @
    @AlhajiIssa-jb9hr8 months ago He is very intelligent person,may Allah grant you firdous.ameen 1
  • @
    @nurumaulid99625 years ago Allah akurehemu babaangu akulipe kwa mema yako. 8
  • @
    @saidsahd19715 years ago Mungu akupumzishe mahala pema peponi Amin ni ukweli mtupu uliouongeaa 10
  • @
    @kaishazabengesi29715 years ago I love this great man for what he used to stand for. May HE WHO HE IS enlighten him to see what he as mortal cannot see. 15
  • @
    @salumnyenye75668 months ago Allah akujalie upate kauli dhabiti insha'Allah 1
  • @
    @wastambuli80394 years ago Nimesikitika kutozungumza na huyu Shehe, ningepata faida nikiwa mwandishi, Inalilah Wainailaih Rajiun, 9
  • @
    @rasheedsassi48525 years ago Mwenyezi Mungu akulaze mahali pema peponi 21
  • @
    @kassimmurji28722 years ago Umemaliza kazi yako kila muislamu anajua historia na mungu akuhitadhi 2
  • @
    @istambulahmed6664last year اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة واجعل قبره روضة من رياض الجنة ولا تجعل قبره حفرة من حفر النار يارب العالمين وصلى الله على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين والحمدلله رب العالمين 1
  • @
    @mumybhay49845 years ago Sheikh mungu akupe malazi mema..mpenda kusema ukweli alhamdulilahy Mungu akupe nour ya kabri lako. 13
  • @
    @tajjudinihaji27764 years ago Allah akulipe nilikuwa sijakuelewa zaman 2
  • @
    @abaafarhat91913 years ago ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI HAKIKA ULIWAFUNGUA MACHO WENGI WALLAHI MOJA WAPO MIMI ULINIFUNGUA MUNGU AKULIPE
  • @
    @sulaymuallyuthumaniy30615 years ago یرالذین کفرو ان السموات ولارض کانتا رتقا ففتقناهما # وزنجبار من الماء کل شیٸ حی افلا یبصرون# ... 5
  • @
    @khalfanamour1022last year Allah hajayasahau kwa walio kufanyia madhalim hesabu yao ipo kwa allah moto watenda kuteketea mungu akupe kauli sabit
  • @
    @amourjuma14414 years ago Mungu amlaze mahala pema peponi inshaallah ni watu wachache ambao Mungu amewapa uwezo km WA shekh ilunga ni jassiri 2
  • @
    @jamalsheikh96103 months ago Ameen Yarab Thumah Ameen Wabillahi Tawfiq InshAllah 🤲🤲🤲. from Malindi Sub County Kilifi County Kenya Jamal Sheikh
  • @
    @alimaomar36189 years ago Mashallah mola akuzidishie hutufaamishe. 19
  • @
    @amraniramadhani41482 years ago Amaa kweli waislamu wa tanzania tumepoteza jembe 1
  • @
    @abuubakalmtangenange43893 years ago Maasha Allah umekufa lakn maneno yko yapo hai 1
  • @
    @abdulrahmansalim97733 years ago MA SHAA ALLAH MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMEEN YA RABI ALLAMEEN GENIUS LION OF AFRICA 1
  • @
    @mkundwaafile18265 years ago Mungu akulehemu shehe ilunga hasani kapungu 2
  • @
    @mumybhay49845 years ago Watanganyika mtachukia sana haya maneno..sababu yana ukweli mtupu..na nyinyi watanganyika ndio wasaliti wa znz mnatunyonya sanaa 4
  • @
    @masoudalriyamy629811 months ago Yarabii mola mtilie nuru kaburi yake msamehe makosayake mstiry mtanulie kabury yake 1
  • @
    @masoudalriyamy629811 months ago Yarabii msamehe sheh wetu na kila alompatisha dhiki umlaani
  • @
    @farajaally67903 years ago ALLAAHUMA-GHFIR LAHUU WASKANAHU FIL JANNAA 2
  • @
    @hemedytengu57184 years ago Sheikh wallahi unatutia majonzi maana mpaka leo masheikh wetu wapo kizimbani, (sirikali)😭😭 1
  • @
    @jaffarchimbuvu74993 years ago Kweli ilunga Allaah, akujalie kauri thabit,kumbe ndio mana masheikh wanaomogopa Mungu wako jela, hhaaa,Mungu ana waona 1
  • @
    @masungwasalumu12784 years ago Soma Qruan 2;102 ndiyo utajua waislam mkowa vipi dunian 1
  • @
    @husseinchiaseeds26535 years ago Allah azidi kukupa kauli thaabiti huko ulikoendaaaa 6
  • @
    @mumybhay49845 years ago HUYU NYERERE ALIKUA JINAMIZI SHETANI KHASWAA.LAANATU LLAHY ALAYHI 4
  • @
    @allyabdallah43574 years ago Allahu mma ghufirillahu warahamahu firjannah 3
  • @
    @clarencehilary55888 months ago Moto ni halali yako kabisaa maana ni lichochezi hilo lizee liangalien halina tofauti na shetani
  • @
    @saidomilanzihawowotenifree95903 years ago Illunga allah akulaze mahali pema peponi amina
  • @
    @fatumashabanfatumawawapimy11573 years ago Allah akupe nuru ktk kabur lako shkh wetu
  • @
    @suleimansaid74863 years ago Ni sawa sheikh ilunga
    UKO WAPI UHURU WETU?
    TUMEMEZWA NA BARA.
    1
  • @
    @ismailramadhani38134 years ago Allah akupe kila LA kheri tunajifunza sana shekh Ilunga 1
  • @
    @husseinomary44665 years ago Sheikh ulikua unanyoosha Allah akujaalie pepo aaamiyn 3
  • @
    @mohdeddy1235 years ago Mashallah sheikh allah akulaze mahali pema peponi amin tutakukumbuka sana tena wala hatupumui tunavonyonywa sheikh daaah tunaomba kama uje tena utupe wasia ila kazi yake mola ? 4
  • @
    @allymsuya66555 years ago Wazanzibar msipokataa CCM mtatawaliwa milele 2
  • @
    @msukuma12 years ago Jamaa alikuwa mwongo sana pumbavu kabisa 1
  • @
    @twahaabrahman57252 years ago Ilunga Ni muongo, hujuwi kusoma kiarabu, Una fikra za kigaidi, Uikhwani, huna taaluma ya uislam Ni m'babaishaji tu wewe 1
  • @
    @yassinhamza19697 months ago Sheikh alikuwa anajua history ya nchi ya Tz sana
  • @
    @hassanrwitita25034 years ago Tumetoka mbali sana kulikoni na Mambo haya 3
  • @
    @moxasaidi33985 months ago Kiongozi kama huyu ni wachache sana duniani
  • @
    @khadijakifungakifunga2882 years ago Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema amina ustaz ilunga aamin
  • @
    @jumakapilima56744 years ago Si kweli kuwa waislam hawashabikii muungano!!! 3
  • @
    @franaelmbise65944 years ago Duh haya Madini yaan Mungu wangu, Kivuli kinaishiii jamn ndg zangu Basi tuuuh
  • @
    @clarencehilary55888 months ago Mungu akuchome moto maana anachokihubiri kwenye mihadhara yake ni hatari sana kwa taifa letu
  • @
    @alimussa26555 years ago Ah waisilamu wa saiv sijida kubwa lakini moyoni hamna kitu 2
  • @
    @mumybhay49845 years ago SEMAA UCTADH. KWELI TUPU MI CCM LAKINI HAYA UNAYOYASEMA HAYAPINGIKI NI UKWELI ..NA HAWA MAKAFFIR WAMETUPELEKESHA LAKINI SASA TUMEAMKAA..TUTAKWENDA NAO SAMBAMBA. 5
  • @
    @kaisarimkuu36855 years ago Hili linguruwe linawafundisha mapanzi. 3
  • @
    @bennymochiwa48004 years ago huo sio mfumo kiristo huo ni mfumo ccmnismu ndio unaotusumbua 2
  • @
    @jumannegodwin52125 years ago Sasa atakuwa na amri kwa sovereignty ipi? 2
  • @
    @marcominja88505 years ago Mungu akulaze akhera, si kwa uchochezi huo. 4
  • @
    @ramamchina47303 years ago Katka mtu nilie kuwa naipenda bakwata nili kuwa mm nilivo msikilza uyu shekhe nili koa daha
  • @
    @eliasnavytanga4 years ago Brain hiyo. Sio. Hawa Mashekhe wapiga ramli 1