Chid Benzi ame free style kwa dakika 10 za maangamizi ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio bila kuchoka na kutoa mistari kichwani hapo hapo.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 690
@
@dangotesam9845منذ 7 سنواتDah! Bila kukaka kimya wala kuchanganywa na beat aisee! I'm happy to see that Chuma is truly back, sober n stronger! You really mean alot to East Africa. Keep it up Mtoto wa Ilala. 13
@
@qurayshsued2843منذ 6 سنواتKila cku lazima nipitie hii video kama unamkubali chid gonga like tukae sawa 211
@
@vahyregan8424منذ 5 سنواتBig up chid B' ooooh much love to you. You're the best ❤ 18
@
@hamadtv294العام الماضيKama yupo anaesikiliza hizi freestyle lines 2023, basi nasikiliza naee. 29
@
@juniotozman2976قبل 4 أشهر2024 and still one of the best freestyles so far 1
@
@frankkimaniمنذ 6 سنواتThats real free style.Keep up KING KONG!!! 15
@
@fedrickwilliam1721منذ 7 سنواتchid benz is a best freestyle alive in TZ and EAST AFRICA as well, type like if you agree 31
@
@user-mi2bu6vx1uقبل 7 أشهرFreestyle kwa dakika 10 IS THE REALLY G.O.A.T 1
@
@amosnasiali7206منذ 6 سنواتhii ni CHUMA Kweli..CHICHICHICHICHI.hahahaha kali aiseh..jamaa hapumui.kupumua ni after 10mins.+254 tunamtambua CHIDI..kama imefanya ucheke gonga like apa 72
@
@Mbugokilondaمنذ 7 سنواتMimi nasema hana mpinzani huyu jamaa kwenye frestail, nani anabisha ;;;nakama unamkataa juwa Wewe ni mchawi tu!!! 48
@
@sedekianjalle3411منذ 5 سنواتHuyu ndo Mkali kama unamkubali gonga like! 2
@
@simonmwangi1057منذ 5 سنواتNiko hapa April 19 nimekuja kuwakilisha +254 tunakubali sana chid Benz king wa rap true freestyle 41
@
@goodluckmrosso486منذ 6 سنواتMungu msimamie huyu kiumbe wako aitendee haki talent yAKE 4
@
@donprince9752منذ 5 سنواتKaka sio mpaka ufe ndo wakupe cheo ngwair(RIP),we Ni mkali WA freesyle kuliko wote waliotokea 23
@michaelassenga9240منذ 7 سنواتHii ndio freestyle bhana, mnaomchukia mkajinyongeeee 142
@
@nsajigwaelly4843منذ 7 سنواتKing nimembatiza kuanzia Leo Chidy Benz ndio king baada ya kiti hicho kuondoka na Marehemu MaGwAir Ameamua kumrudishia Mchizi Wake Poa % .45
@
@dohabisophicateqatar1742منذ 7 سنواتchidi mzuri kbsa lkn uraibu maskini mungu amtoe kwenye hilo janga.una weza mzee mzima 13
@
@mwafrikabarz4507منذ 7 سنواتUwiiiiiiiiiii Frestler techniQue was back again Gonga kama unamkubal huyu techiQuer 86
@
@richmontanna7934منذ 7 سنواتkenya we blv chuma is da best kwa freestyle salute 24
@
@issaramadhan-bd2suالعام الماضيJamaa ni moto hakuna mtu anamueza TZ big up man 2
@
@mrchefamour1987منذ 5 سنواتKama bado yupo anaeskiliza hii free style ndan ya 2019 niko pamoj nae. 34
@
@benmsonganzila8069منذ 7 سنواتLinapokuja suala la freestyle, Chidy Benz hana mpinzani kwenye hilo. 128
@
@johtv9052منذ 7 سنواتUuuuuuuu n mwambaa kweli dar es salaam bila chid Benz amna ktuuuuu 7
@ibneidmood4263قبل 3 أشهرKama yupo anayesikiliza Free style 2024 basi tupo wote haap
@
@sharifibrahimu8404منذ 4 سنواتThe best freestly.. Dah jamaa anajua anajuaa 2
@
@issaramadhan-bd2suالعام الماضيYaani beat zote chindi ameua mbya sana uko juu man 1
@
@faugomstaarabu9833منذ 7 سنواتHuyo ndio mkali wa freestyle hii nchi akuna kama hyu jamaa 110
@
@kingpablojr8175منذ 5 سنوات26 dec 2019 still kitu ni . nani uko anaangalia 10 za maangamizi agonge like!!? 4
@
@samwelsebastianمنذ 5 سنواتFreestyle machine!! Hiki kichwa kinabalaa dadeki Kuna muda inabidi ukweli uwekwe wazi ✊✊✊✊ 5
@
@gungmic4218منذ 7 سنواتchid upo vizur mleten rayvan tumsikie na yeye japo anaimba ckuiz 18
@
@kibwamoko2207منذ 7 سنواتHaya ndo mambo tunayoyataka katika freestyle, hatutak mashair ya kuandika. Umetixhaaa brother Chid 9
@
@arsenemuhindotv4175منذ 7 سنواتoooh my God kumbe ukonamnahivi nimekuelewa Chid b. Leo nimekukubali mkali wangu. 2
@
@boxingvibe9205منذ 7 سنواتDAAAAHHH HUYU JAMAAAA BALLAAAAAAAAAAHHH KWA FREEEEEEEEEE STYLEEEEEEEEEE 13
@
@Memes_Swahiliمنذ 7 سنواتmy best freestyler ever,,, uwezo wa kufikiri umepungua kidogo ila umeua sana mzee 5
@
@mikentogaقبل 4 أشهرOyooooooooo mwamba sana naelewa naelewaa salute kwako
@
@milithonabedy7568قبل 6 أشهرAkuna rapa atakae kuja vunja hii rekod.kwanza zimepigwa bit nying,kila biti inamistari yake.bila kuchoka bit inatendewa haki no kurudia mistar.mpaka jingo imepewa mistar.kam umeelewa gonga like
@
@josephkingumbi3827منذ 7 سنواتChid benzi ameshindikana yan ni non stop .hahahahah wangeongeza dakika ziwe 15 ili tuendelee kupata radha and that is what we call it freestyle nasio kurudio kuimba nyimbo zisizokuwa namaana 52
@
@emmanueldastan9157منذ 3 سنواتDaah mm ni wagospel lakin tangu 2019 mpaka sasa nachekaga tu kwa hii freestyle 1
@
@samsonmgelwa1579منذ 6 سنواتRespect to yah broo Hii ndio maana halisi ya kipaji 3
@
@rosemangale8177منذ 6 سنواتnakukubali sana na freestyle zako chumaaa Chidbenz 3
@
@husseinkaoneka5834منذ 4 سنواتhyu jamaa kichwa sema tu cjui anayumba wap asee, kila cku lazma niiangalie nikiwa ofisini, gonga like hapa kama unamkubari benz the chid
@
@enockngendakuriyo6759منذ 5 سنواتI'm still watching this non stop 2019 11
@
@blackflavour4555العام الماضيDuuh king koong mkali wa kazi hizi 2023
@
@samsonmasha7891منذ 7 سنواتlong live chidi benz number one rapper in bongo yes back in the game no one like this guy 7
@
@geofreympwani457منذ 6 سنواتNo one like u king Kong ww ni nomaaaaaaaaa braza 1
@emmanuelbrassy4000العام الماضيHili ni shetani la freestyle noma bro makwiro
@
@mtokambali2320منذ 7 سنواتAlipofariki Mkali Albert Mangwair niliumia ila baadae nilimtazama Chid Nakusema Kwamba Free Style bado inaishi. go Chumaaaaaaaaa 2
@
@jackspyro6115منذ 3 سنواتNani tena kamcheck chid 2021, baada ya miaka minne bado moto mkali
@
@josephkamwezi9059منذ 5 سنواتUkimtoa gwiji mangwea namkubali sana chid
@
@amosmwakapesa8540منذ 6 سنواتjamaaa mkali mungu bariki huyu mtu amina
@
@musicandfootballfans3368منذ 7 سنواتwapi diamond alete zake karangaaa mamaaae wameikataaaaa 24
@
@tigerdavid5753منذ 5 سنواتkaka weye ni kisu kinye kamali sana. . akuna kama weye bongo nzima kwene kushana
@
@BigirimanaF1منذ 6 سنواتRespect guys for your Dakika kumi za maangamizi 2
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Dakika 10 Za Maangamizi : Chid Benz | Planet Bongo:
Ni kipaji kitupu. Ana enjoy anachofanya. 2
Frestler techniQue was back again
Gonga kama unamkubal huyu techiQuer 86
Hiki kichwa kinabalaa dadeki
Kuna muda inabidi ukweli uwekwe wazi
✊✊✊✊ 5
Hii ndio maana halisi ya kipaji 3
Bado nasikiliza hiyiii dudee Kong nakubali sana chid