المدة الزمنية 9:17

Aslay na Nandy Waitendea Haki Subalkheri Mpenzi, Escape One

بواسطة Global TV Online
625 796 مشاهدة
0
2.7 K
تم نشره في 2018/02/18

Aslay na Nandy Waitendea Haki Subalkheri Mpenzi, Escape One Ni usiku wa shoo kubwa na kabambe kutoka kwa wasanii wanaofanya vizuri na ngoma yao ya 'Subalkher' Nandy na Aslay, iliyofanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Shoo hiyo iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu 'Valentines Day' ambapo walipata fursa ya kuwaburudisha mashabiki kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja nyimbo yao yenye ujumbe mzito wa mapenzi ya 'Subalkher'. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 207