Droo ya saba ya kuwatafuta washindi wa Twende Mjini na M-Pesa imekamilika na tumefanikiwa kuwapata washindi sita ambao kati yao mmoja kutoka Tanga amejiondokea na bajaji huku wengine watano wamechomoka na bodaboda mpya. Endelea kutumia M-Pesa App kufanya miamala kupitia simu yako na pengine wiki ijayo, utaingia mjini. #pesanimpesa #twendemjininampesa
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Droo ya saba ya promosheni ya Twende Mjini na M-Pesa: