المدة الزمنية 11:33

LOLILO akizungumzia kuhusu kazi yake na primusic mimi sina bifu na Big Fizzo

بواسطة Wana Tv
12 457 مشاهدة
0
307
تم نشره في 2019/05/26

Alipotoka Tanzania Simba Aliojiwa na WANA TV Nashukuru sana kwa Brarudi kuona tena inatuletaya mahendeleo ila sijasirika kutochaguliya alisema lolilo . sina bifu na msani wowote ule tena niya yangu ni kuipaza muziki wa nyumbani, kazi zina kuja tena best collabo inje na kando yanchi WANA.TV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interview kutoka kwa masta unaowakubali inchini Burundi Na kando kando Hakikisha una Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp au mitandao yako ya kijamii (facebook na twitter).

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 50