المدة الزمنية 2:24

WAZIRI MWAMBE: MWEKEZAJI YEYOTE, LAZIMA AANZIE TIC

بواسطة Uwekezaji TV
93 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/05/18

Waziri mwenye dhamana ya uwekezaji, Geoffrey Mwambe pamoja na Naibu Waziri William Olenasha walipotembelea Ofisi za TIC, jijini Dar es Salaam. Katika ziara hiyo, walisisitiza juu ya umuhimu ya kuvutia uwekezaji nchini.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0