المدة الزمنية 13:7

Mazoezi ya kuongeza MAKALIO bila vifaa ukiwa nyumbani

بواسطة Joan Fitness TV
122 237 مشاهدة
0
930
تم نشره في 2021/04/21
عرض المزيد

تعليقات - 272
  • @
    @JoanfitnessTVمنذ 2 سنوات 0683836293 WhatsApp kwa mahitaji ya mpangilio wa chakula na program kamili. 6
  • @
    @rayamasoud3772منذ 3 سنوات My dear very nice maxoezi yp simple napat majib 1
  • @
    @JOHNPHILIMONIقبل 6 أشهر Ahsante sana mpnz nitaanza mazoezi kesho❤ me nahitaji hipsi kidogo na tako kidogo cyo sana
  • @
    @debrahcherop1302منذ 2 سنوات Asante sana dadangu naanza hayo mazoezi Sasa hivi nakupenda kutoka Kenya 1
  • @
    @joycemollel7019منذ 3 سنوات Kwa mtu alifanyiwa operation anatakiwa akae muda gani ndo afanye haya mazoezi pamoja na Yale ya kukata tumbo? 5
  • @
    @adivemasatu8614منذ 3 سنوات Naomba no, unielekeze vyakula navyotumia, na mazoezi ni asubuhi na jion au 1
  • @
    @mariajoni989منذ 2 سنوات Mazoez yako vzr naomba vyakula vya kula wakat unafanya hayo mazoez
  • @
    @milkerathuman3493منذ 3 سنوات Hello dada,nahitaji kuanza hii hivyo nahitaji kujua mpangilio kamili na vyakula pia 7
  • @
    @BekaahBakari-jz6quالعام الماضي Ni kwa mdaa gani dada anguu shape unawezaa ikawaa tayarii imeshatokaa
  • @
    @bahatikahogo4014العام الماضي Asant sana mdada nainjy sana na mafundish yako
  • @
    @jamilaalmarzooqi4845منذ 3 سنوات Dada mambo mimi naonba mazoezi ya hps na makalio 3
  • @
    @happnesswalyes7326منذ 2 سنوات Nahitaji kupungua tumbo lng ni la oprestion je nifny zoezi gani ili nipungue hili tumbo?
  • @
    @joycezawadirose9897منذ 2 سنوات Jamani asante mwalimu.nimetafuta suhuhu la kuimaliza tumbo sikunyingi.nisaidie
  • @
    @irhadiddi94منذ 2 سنوات dada ikiwa unatakakiwa ufanye mara mbili kwa siku yaani asubuhi na jion wiki mara 3 sasa mimi nafanya jioni tu jee nikifanya kila cku iyo jioni itakuwa nakosea au ata iyo jioni pia nifanye wiki mara 3 2
  • @
    @glorymbwambo6650منذ 3 سنوات Aisee haya mazoezi kiboko siku 4 mambo poa lkn mwanzoni utaumia makalio yanauma miguu inauma sana
  • @
    @leahnzali5317منذ 3 سنوات Naweza kupata mazoezi yakupunguza tumbo na kuongeza hips 2
  • @
    @nuruemmymkayula861منذ 3 سنوات Mama mjamzito anaruhusiwa kufanya haya mpaka mwisho wa miezi mingapi??
  • @
    @user-bs6tt1sr3tقبل 10 أشهر Naomba no yako Dada nimependq haya mazoez
  • @
    @peterorage1349منذ 3 سنوات Nilikuwa naomba nayako ili tuchat wasp na uniambie jinsi yakupangilia chakula na maezo zaidi 2
  • @
    @angeljohn6961منذ 2 سنوات Hello dada nilikuwa naulz kwa ck unatkiwa kufanya mara ngp na ukae ck ngp ndo ufany Tena mazoezi ya makalio
  • @
    @Emmymajula5838منذ 2 سنوات Hii nzuri Sana mi mwenyew saivi Alhamdulillah
  • @
    @elizabethjuma1548منذ 3 سنوات Naomba unisaidie huo mpangilio wa chakula dada 1
  • @
    @dottosamson8080منذ 3 سنوات Matako nmeyapata mama
    Ila bado hips
    Naona tako tyuu ndo linaongezaa
    Nisaidie best
  • @
    @happinessonsongo3754منذ 2 سنوات More love to you mum nakupenda sans nimetoka 48kg adi 57 nimeshukuru Sana umenipadirisha Sana
  • @
    @samsonimazemle-qf7ywالعام الماضي Habari nahitaji mpangilio wa vyakula kwaajili yakupunguza uzito
  • @
    @user-ly1vw9wk2rقبل 3 أشهر Dada nisaidi mm naitaji kario naips kisi kidg
  • @
    @user-wp2kx1ie9jقبل 6 أشهر Axante kwamazoezi yako mimi matokeo nimeyaona ila nilikuwa nauliza niasubuhi najioni , au
  • @
    @estinatahhan5017منذ 3 سنوات Mazoezi no kwa mdagan asubuh au usiku lakin Aina ya vyakula dadang nahitaj kujua
  • @
    @winifridaedward6220منذ 2 سنوات Kama nikiacha baada ya kupata matokeo hakutakuwa nashida
  • @
    @lillydavid1654منذ 3 سنوات Mm ndio naanza mazoez vyakula gani ni sahihi jmn joan
  • @
    @grashfordmwilondo9089قبل 10 أشهر Jamn hapo nayataka yaongezeke na shepu nzuli jaman mungu wangu ee
  • @
    @alicecharles9209منذ 2 سنوات "Naomba mazoezi ya kunenepesha miguu
  • @
    @reymatelela8500منذ 2 سنوات Naitaji kuanza mazoezi na pia kufaham program yote na mpangilio wa chakula
  • @
    @user-lt5vs3sf4jقبل 10 أشهر Dad nataka kutengeneza shep vp vyakula n vip
  • @
    @rizikladyherson8451منذ 3 سنوات Dadaa natak kuondoa heep deep kwenye makalio 1
  • @
    @user-oi6rg9bp7lقبل 10 أشهر Nataka kujuwa ualatibu wachakula nanichakula gani au matunda gani
  • @
    @nureennayra44منذ 2 سنوات Hello mm naomba kupunguza manyama uzembe pembeni
  • @
    @gulassagande3335العام الماضي Hello dada nahitaji kujua mpangilio wa vyakula
  • @
    @anitadecson8811منذ 2 سنوات Namba dada unitumie mazoez haya kwa wasph
  • @
    @magrethmbilinyi2963منذ 3 سنوات Mtu akijifungua anaanza mazoez baada ya mda gan
  • @
    @AngelineHemedقبل 6 أشهر Nahitaji kuanza nambie mpangilio kamili
  • @
    @hopelema4726منذ 3 سنوات Mimi nimefanya nimepata matokeo asante nakupenda bure unatufundisha vizuri kikubwa kuamua kuchukua atua misikate Tama saivi mi naringa tu na shundu langu 10
  • @
    @dukedml2616منذ 2 سنوات Samahan dad Joan me napenda mazoez lakn nipo shule na vyakul vya protin havipo nifanyaje??
  • @
    @samiahappy8175منذ 2 سنوات Nitaka kujaza mapaja na najario nafanyaje
  • @
    @maryambakari354منذ 2 سنوات Tafadhali nitumie namba Yako tafadhali please dadagu
  • @
    @antutusa5829منذ 2 سنوات Hlw dad naomba uniunge wsp nijifunze zaidi
  • @
    @emmymwasyeba4820منذ 3 سنوات Lazima ufanyie chini? Naomba namba yako my dear
  • @
    @Kittunni01-oq8kdقبل 7 أشهر Dada nipe ratiba ndonaona leo natak niaz kufanya na mim hay mazoez
  • @
    @anglesamweli9444منذ 2 سنوات Asant dada ak piy nami naitaji mpangiliyo wa vyakula
  • @
    @mussangagayu7117منذ 3 سنوات Hayama zoezinikwa sikungapi napatamatokeo
  • @
    @beatraceabdallhmfangavo7052منذ 2 سنوات Unatakiwa kufanya Hilo zoezi mara ngapi kwasiku
  • @
    @husnamusa9711منذ 2 سنوات Kwa siku inabidi ufanye mazoezi hayo mala ngp