Gari aina ya Fiat ni miongoni mwa gari za zamani ambazo zina nguvu sana kutokana na uwezo wake wakubeba mzigo mkubwa,dereva anayeendesha gari hiyo amesema ina gia tisa ukijumlisha na revised
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 144
@
@muddychanga7909منذ 3 سنواتInaitw 682 N3 torino fiat.A.k.a mbaula,mkasi juu mkasi chini,kula laik wazeee wenzang wa ngoma ngumu,w wazeee wa popo umetukuna ipasavo axe,usiku ndo mida id="hidden2" class="buttons"> yetu,mchana tunapak tunaenda kula bata kwa sokota,ucku kama mchana vile,mwandish uje Azam tunakupa na uendesh kbxa,ila kumbuka kuja na kidum cha diesel tu. ....وسعت21
@
@makuzaeliud7036منذ 3 سنواتKwajinsi ninavoijua hii mashine hakii, Dereva hakuitendea haki katika maelezo na kuielezea, hii kitu inabeba mzigo inapita rafu load inapanda milima id="hidden3" class="buttons"> yaani kazi juu ya kazi a,k,a MBAULA. Saluti kwa mtaliano kutengeneza hii kitu ....وسعت8
@
@wellbrand3415منذ 3 سنواتHatariiii Muitalia alipiga kazi kuiunda hiyo mashinee 7
@
@gerkombo6512منذ 3 سنواتF.I.A.T meaning = Fabbrica Italiana Automobili Torino, hiyo chuma magari mengine yote yanaipigia salute. 34
@
@passianmaningi8479منذ 3 سنواتWaooo Asante sana mmenikumbusha mbali sana 1
@
@junioryasin5306منذ 3 سنواتWazee wa ngaramton ya juu karb na olmtony 3
@
@jejofurniture285منذ 3 سنواتhii gar ni noma inaweza kubeba hata mara 2 1
@
@mejalomayani1606منذ 3 سنواتnaikumbuka maeneo ya nading'oro na kitaakuu 4
@
@ramaturuku863منذ 3 سنواتGari still sana hiyo, ina sifa nyingi mnoo sema dereva kidogo hafunguki,hajaichangamkia kuichambua. 3
@braystuskibassa3077منذ 3 سنواتNakubali sana hizo chopa kama vile Mafinga
@
@ezekielloylepayon5042منذ 2 سنواتNadung'oro zinaenda beba magogo mjomba wangu ni dereva mmoja makini sana
@
@mejalomayani1606منذ 3 سنواتnamkumbuka huyu dreva juma tukiwa donyo sambu maeno ya flota 5
@
@richardmwandali7722منذ 3 سنواتMfumo wa Massey fagason 1 high moja low nomaaa AAA 1
@
@sankofaman4112منذ 3 سنواتKichefuvhefu. Speed mia mpaka uipige free.
@
@freduallughano2301منذ 3 سنواتWasomali walizipenda sana hizi kama zimetoka kwao vile,mbeya kuna sehemu inaitwa mafiat zilikuwa zinapaki eneo hilo nyingi.
@
@josephkauki6094منذ 3 سنواتIyo ni diesel engine ndo maana inatoa sauti kubwa kutokana na vibration 1
@
@hasanissantambarasamata3419منذ 3 سنواتIzo gari kwetu mbeya zamani walikuwa wanaendesha wasomari tu walikuwa wanavua hadi mashati 1
@
@husseinmarusu4359منذ 3 سنواتKuna mzungu pori na Mwafrika pori oooh hizo ni shida pale chuga
@edinaikunda1259منذ 3 سنواتHuyu dereva hajaitendea haki kuielezea fresh aisee.ivi anaelewa shughuli ya chuchu mbili pale mbele kwa chini.vipi kuhusu honi ya mbaula.a class="buttons">tariii.hiyo inapigwa kwa mguu mzee achakabsa huo mzigo sio wakitoto.nataman huyo mwandishi angekutana na mimi nahisi angenitafuta zaid na zaidi bna ....وسعت3
@bonaventuremabula4113منذ 3 سنواتhizo ndio ngoma zangu. naztengeza pale gereji kwetu. 2
@
@husseinkarim6745منذ 3 سنواتMsgari ya zamani hayo fiat 682. Hayo yalikuwa wakati wa kwenda Zambia hasa na wasomali. Halafu hao watu wanakaa juu ya magogo au juu ya cabin ni hatari kama gari ikipata ajali. 1
@
@mdl6463منذ 3 سنواتGari naliona sawa lakini siliamini kabisa 1
@
@amirikoshuma3039منذ 3 سنواتWewe umeanza kuijua fiat leo ikibeba gogo nyingi ivyo Sasa zipo Masai fagasoni na benzi za kizamani 1
@
@edinaikunda1259منذ 3 سنواتWapi states bazooka,,hamisi darumenda.hao walikuwa madereva wa iyo kitu bna.mitaa ya ngarenaro apo..
@
@nas9071منذ 2 سنوات“Number moja Ndio inanguvu au hii ni tofauti?” Huyu chalii wa wapi asee.
@
@burudaninamatukio5389منذ 3 سنواتKwanini Fiat huwa haifeli brake au hazishindwagi kupanda mlima? 1
@
@kelvinmgwattu184منذ 3 سنواتUnatusogezea vitu vya nyumban kabisaaa,izo ndinga zipo nyingi kwa mromboo zinaenda mirongo ata wajeda wanapandaga wakienda kambini
@
@machiavelshakur8939منذ 3 سنواتHii gari mbona naijua inetaga magogo huku kwa M/Chai Kwa Aloyce
@
@kingtv5600منذ 3 سنواتKama umeona hi video upo kilosa na hizo gali kwetu zipo gonga link
@
@capteinchuimchafu7894منذ 3 سنواتKiukweli mmi nilovyokuwa mdgo Kila nikiiona hii gari kwakwel nilikuwa nakimbia balaaana mbya hyo mimacho yake mbele ilivyo
@
@meleckzedecklaurence6254منذ 3 سنواتHii sindo ile inaenda forest Ngaramtoni?? 12
@
@alexmihayo5723منذ 3 سنوات.Fiat aka mbaula,iyo ukianza kuiendesha mnene(kg90) Ukija kukabidh mwembamba(kg45)..maamaaye!!! Kona mnakata watu wa2 10
@
@fadhiliswidhun9779منذ 3 سنواتDereva hana wenge hata akpewe scania mpya ataitunzaa
@
@freduallughano2301منذ 3 سنواتKuna mdogo wake anaitwa FIAT 110 tani 7 kuna basi ziliitwa mawenzi zilikuwa na injini ya fiat 110
@
@wellnaton6013منذ 3 سنواتWaliotengeneza Fiat ndio Waliotengeneza Ferrari, Bugatti 2
@
@elishameshack5561منذ 3 سنواتInanikumbushia nilipokuwa mdogo olmotonyi forest. Hii gari ikiunguruma nilikuwa nakimbia . 4
@
@tanzaniacarschannel6975منذ 3 سنواتIs very unfortunate anae hoji ajui namna ya kuhoji issue za magari. Huyu alitakiwa a hoji technical issues za hii gari zinazo itofautisha latest malori.. id="hidden6" class="buttons"> mfumo wa injini na giabox na pamoja na uimara wa axle., Mifumo ya brake na ubora wake ukilinganisha na wa leo. Pia kama ingewezekana angeuliza matoleo mengine yalio fuata kama fiat iveco. ....وسعت3
@
@geographyteacher.2961منذ 3 سنواتHii gari nilikutananayo njia ya Olmotonyi forestry kuja Ngaramtoni. Ukiiona unaweza kimbia. 1
@
@sarananyaro9089منذ 3 سنواتHuyo dereva ni mjomba wako?mnafanana kweli,vichwa mviringo 1
@
@sostenfestor2369منذ 3 سنواتHii gari sio poa hiyo mzigo inabeba na hiyo milima inapanda haifai kabisa
@
@denissemfuko3373منذ 3 سنواتHizi gari zilikuwa zinapaki eneo moja mbeya hapa ambalo sasa nikituo cha mafuta.. Hilo eneo kwa sasa ni maarufu kwa jina LA MAFIATI. 10
@
@ahmadhamis5134منذ 3 سنواتInaitwa fiat 682 mkasi juu mkasi chini 1
@
@mwigakatumpula9817منذ 3 سنواتHiyo gari ina uwezo mkubwa Sana na kumbuka kipindi naiendesha maana nilikuwa niki ikimbiza Sana mwishoe inaanza kuruka juu 2
@
@ibrahimjoseph9417منذ 3 سنواتTafuta mtaalam na wakongwe wa hiyo gari utaifurahia huyo dereva anaijua hiyo gari ila hawezi ielezea maana hajui gari zingine nachojua kuna mahali hiyo gari inapanda na mzigo Scania hauendi
@
@zedekiannyagawa3521منذ 3 سنواتhuyo aliyekaa juu ya magogo amejitoa ufahamu 1
@
@shinipapaya846منذ 3 سنواتNiwe mkweli hakuna tv ninayo ichukia kama hii yaani waweke billion 90 za Somalia na hii tv naichukua hii tv pasipo kupepesa macho yangu mimi nilij id="hidden8" class="buttons">ua anaenda kuhoji hiyo shehena ya kikausha misitu yetu kisha kila siku tunalia na ukame mara oh mito inakauka wakati hao ndio chanzo acheni kukata miti ovyo sasa swali kwenu nyie vitv uchwara hivi mimoyo yenu haijaogopa kuona hiyo migogo? Daa RIP mzee baba nakupa salaam Tanzania yetu pendwa tayari tupo kwenye chukuwa chako mapema iwezekanavyo ....وسعت
@
@vicentflavour9992منذ 3 سنواتKila siku unawahoji watu wa chuga Tu bro shida nini shida nini 1
@
@rogersdavis3058منذ 3 سنواتKuna watu wanasemaga dereva wa fiat ni mwembamba hahahah
@
@willyngowi3162منذ 3 سنواتHigari inasifa nyingi sana dereva haijui vizuri huyu
@
@edinaikunda1259منذ 3 سنواتAchakabsa dereva hana mzuka kivile katika kuielezea hiyo mashine bna..mkasi juu mkasi chini inaitwa kisusio bna.hapo kwenye kibin unaeweza kuchemsha id="hidden9" class="buttons"> chai bna. kwenye accl.plate unaweka kipande cha tofali baada yakumaliza gears mzee.duh kumbuka mbali sana ....وسعت1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على HII NDIO GARI AINA YA FIAT, NI BALAA INA GIA TISA INABEBA MZIGO MKUBWA, DEREVA AIELEZEA:
Dereva hakuitendea haki katika maelezo na kuielezea, hii kitu inabeba mzigo inapita rafu load inapanda milima id="hidden3" class="buttons"> yaani kazi juu ya kazi a,k,a MBAULA. Saluti kwa mtaliano kutengeneza hii kitu ....وسعت 8
Muitalia alipiga kazi kuiunda hiyo mashinee 7
Halafu hao watu wanakaa juu ya magogo au juu ya cabin ni hatari kama gari ikipata ajali. 1