المدة الزمنية 4:18

TAMBUA NYAKATI ZA KUKAA KIMYA.

بواسطة Norbypol TV
10 728 مشاهدة
0
125
تم نشره في 2020/12/04

#Ukimya#kukaakimya#nyakatizaukimya#Norbypoltv Kuna mda neno ukimya lina umuhimu sana kuliko kuzungumza.Watu wengi tunashindwa kulitumia neno hili badala yake tunajikuta tunazungumza na mwisho wake tuna pelekea ugomvi au na matatizo mengi..Leo nimeona nikuleetee nyakati 5 muhimu ambazo unatakiwa kukaa kimya..naamin kupitia video hii utajifunza mengi sana na utabadilika. Unaweza ukatufatilia kupitia mitandao ya kijamii Facebook: https://m.facebook.com/?subno_key=AaEPsL3zCjrNTocsnD6Boapdu_gDhsdJzI1lb39BqnSx-uq-fUnb1Vq_E-XbvQXvbkjU3jG6szUExG9BfGXgy990AEjyypcuvggAeDGY Instagram: https://www.instagram.com/norby_pol/ Facebook page: https://m.facebook.com/norbypol/?ref=bookmarks Youtube: /channel/UC1t5DWfaWdX3tMZK7PcLIhQ

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24
  • @
    @hammerQ954منذ 2 سنوات hii namba nne ilinitokea siku ya msiba wa baba yangu kuna rafiki yangu kila mda anakuja kunipa pole dah alikua anazidi kuniumiza mpaka mwisho nikamwambia ooy boi pole zinatosha kwa sasa 3
  • @
    @stainamwannda3700منذ 2 سنوات Nimejifunza mengi kupitia haya Mungu akubariki sana 1
  • @
    @videotrends1255منذ 4 سنوات Nimejifunza mkuu..ni lazima kuna wakati wa kukaa kimya 1