Zimebaki siku chache kufikia NMB Marathon na champion Alphonce Simbu yupo tayari 🏃
Usikubali kutokuwa sehemu ya historia ya Mwendo Wa Upendo mwaka huu kwani unaweza kujisajili kupitia link kwenye bio na tukutane Leaders Club - Septemba 25 kwaajili ya kuuchapa mwendo.
#FistulaInatibika #MwendoWaUpendo #NMBMarathon2021
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على NMB Marathon 2021: ALPHONCE SIMBU: