المدة الزمنية 9:29

FRED VUNJABEI AINGILIA BIFU LA HAMISA MOBETTO NA WHOZU/WAMEGOMBANA HAWAONGEI/KUFUNGUA CLUB SOUTH

بواسطة Carrymastory
52 650 مشاهدة
0
396
تعليقات - 101
  • @
    @aishadjumaphones8877منذ 3 سنوات nime furayi kusikia ume tutaja burundi mungu akujalie akupe umli mulef utimize malengo yako inshaallah 4
  • @
    @paidenasra4548منذ 3 سنوات Ongera sana Fred. Nimeiba jina lako la Vunja Bei nimeandika kwenye genge langu uku Mozambique. 3
  • @
    @sharinv8864منذ 3 سنوات Baba level hahaaa umetengeza usiku wangu shikia hapo kaka watu wanakudharau nawewe unaendelea mbele. 6
  • @
    @christabella241منذ 3 سنوات Safiii san kbsa ni mwelevu kumbe hivo fred vunja beyi 7
  • @
    @Sppah697منذ 3 سنوات Baba levo hiyo style ya nywele imekuww unic imeekuwa ndo identity ysko! 3
  • @
    @jossyjosphin2587منذ 3 سنوات Yeeyy..watu wa deco kutoka nrb kenya..oyeee
  • @
    @sweet16honey75منذ 3 سنوات Mimi napenda Baba levo huwa asemi uwongo ana mwagaa wazi 2
  • @
    @0712939973منذ 3 سنوات Huyu mwamba namkubali sana anajiamini akiongea yan hua napenda sana interviews zake 3
  • @
    @valenakomba4453منذ 3 سنوات Watanzania walikuwa wamelala jamani, sasa ndo wameamuka . eeeh, Asante Mungu. 1
  • @
    @Gift-cx1uoمنذ 3 سنوات Ila baba levo me nakupendaga coz sio muongo na unajua kushukuru 4
  • @
    @nancymaina9188منذ 3 سنوات Yaani mobetto ana damu ya kuchukiwa ‍♀️ 2
  • @
    @zou7470منذ 3 سنوات Ila baba levo we nikituko kwakwel but huwa unanivunja mbavu 3
  • @
    @aminanamoyo83منذ 3 سنوات Fred unani inspired sana huyo kaka huko nyuma ya fred ni bodyguard au mpambe nimeuliza maana naona anasinzia sijawahi ona bodyguard anasinzia 6
  • @
    @mandyuwimana7735منذ 3 سنوات Sisi tume isha elewa sanaa. Hamisa uko na Vunja Bei sawa ? Ishi maishq yako bilq uwoga. Sio ikuwd mugu umoja ndani ungine inje. Kwa Mond uliza ibqki story awo sio !! Muache kutu changanya.✌️✌️ 4
  • @
    @rhoidakippa163منذ 3 سنوات Carrymastory naomba unisaidie nataka kumuona vunja Bei jamanii
  • @
    @sabinaonline6575منذ 3 سنوات Duu keeli wcb waongo huyo baba levo kea mbwembwe zote zile za gari alafu kapokonywa anasigizia eti kauza bonge la muvi 1
  • @
    @fredmabeyaمنذ 3 سنوات watu wa decor hutoka nairobi? kweli wakenya tuko mbele in decor designs 2
  • @
    @wivinemwamini9110منذ 3 سنوات Hamisanayehana bahati warigombania nini vituyadunia tuta acha hapa
  • @
    @sakinaabdallah7713منذ 3 سنوات You have to be carreful nahuyu babalevo kwani hizo ndo fitna kubwa 1
  • @
    @rozeypwizzy6472منذ 3 سنوات vunja bei namkubal sana interview zake 1
  • @
    @christabella241منذ 3 سنوات Mbona hukumuuliza kuusu mahusiano yake na hamissa mobeto 1
  • @
    @marynderu9846منذ 3 سنوات Aky fred nawezakumeza ukae kwa tumbo yangu,kwa hiyo story ya babalevo umeongea kimwaname
  • @
    @nadrahassan5241منذ 3 سنوات Sasa vitu vyake Whozu una muuliza Hamisa
  • @
    @matingatwaha1439منذ 3 سنوات Bauns kalewa huyo anatakiwa afukuzwe kaz
  • @
    @kobajumakuziwa9976منذ 3 سنوات Du pepsi wakiona mnatangazia cocacola mtawalipa
  • @
    @naimaislam552منذ 3 سنوات Yani baba Levo hudanganyagiii
    Unanifurahishaaa nachekaga tuuu
    3
  • @
    @IsaacParuzمنذ 3 سنوات Mtangaji una sauti kama ya Lily ommy kama una malengo ya kufika mbali sana Basi jitafte maana ule Ni Moto mwingine. 1
  • @
    @rizikiabdalla3308منذ 3 سنوات Baba levoo unapenda vya kupewa na wanaume wezio
  • @
    @wivinemwamini9110منذ 3 سنوات Babalevo kasematazalaubwamukezani mushezi
  • @
    @estherminnahboaz6956منذ 3 سنوات Chakuchekesha gmodol na rich mitindo wote wamemla wolper na hawana habari
  • @
    @achawanunetv1167منذ 3 سنوات KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA 5
  • @
    @rhoidakippa163منذ 3 سنوات Jamani mie nipo ruvuma lkn nawaombeni waandishi mnisaidie nataka mimuone uso kwa uso vunja bei