المدة الزمنية 2:9

HALI YA KIDIPLOMASIA TANZANIA NA MAREKANI HATUNA MGOGORO WOWOTE-KABUDI

بواسطة Focus News Tanzania
109 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/08/02

Serikali ya Tanzania imesema kuwa mahusiano yake ya kidiplomasia na Marekani yako imara na wala hayajateteleka hata kidogo. Kauli hiyo ya Serikali ya Tanzania imetolewa Jumapili Agost 2 mwaka huu katika ikulu ya magogoni Jijini Dar es salaam na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Kapudi John Palamagamba mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kupokea hati ya utambulisho ya balozi wa Marekani na Vietinum nchini Tanzania, tukio lililoshuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Daktari John Pombe Magufuli.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0