المدة الزمنية 2:11

SENZO ASHUKURU UONGOZI KWA KUMPATIA NAFASI YANGA.

بواسطة Blitz Media TZ
25 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/08/25

Senzo Mbatha akitambulishwa rasmi na Uongozi wa timu hiyo amewashukuru kwa kumpatia nafasi na kuwa miaongoni mwa Watendaji watakao isaidia timu kufikia malengo yake kimkakati kama kiongozi kwenye timu ya Yanga SC. ”Kuja kwenye timu kubwa kama Yanga sio kazi rahisi ikiwa ni miongoni mwa timu kubwa na kongwe kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, nipo hapa kwa ajili ya kuhakikisha mipango ya timu inafanikiwa na kufikia malengo yaliyowekwa na timu ili kupambana kiushindani katika soka la kimataifa zaidi” amesema Senzo Mbatha.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0