RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Hati ya Maelewano (MOU), inayohusu Mpango Mkuu wa Ujenzi wa Bandari ya Mangapwani unaojumuisha Bandari tofauti ikiwemo bandari ya mizigo, uvuvi, mafuta na gesi asilia, chelezo pamoja na Mji wa kisasa.
Hafla iyo imefanyika leo January 28, ikulu jijini Zanzibar.
..........................................................................................
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
cc: Masoud Maganga
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
/watch/gP9ye7QajQQay/watch/Y9mrg7gbcsMbr