المدة الزمنية 5:10

Jinsi ya kupika Mzinga wa nyuki /Cheesebuns / Honeycomb Bread

بواسطة Warda Khalid
11 134 مشاهدة
0
140
تم نشره في 2021/04/19

Mahitaji Unga wa ngano robo kilo au vikombe 2 Yai Sukari kijiko 1 Hamira kijiko 1 Siagi vijiko 2 au 1/4 kikombe Maziwa 1/2 kikombe Soft triangles cheese Yai lakupaka juu(sio lazima) Ufuta(sio lazima) Condensed milk (kwa ajili ya kumwagia juu) Ingredients Plain flour 2cups or 250g An egg 1tbsp of sugar 1tbsp of dried yeast 2tbsp or 1/4 cup of melted butter 1/2cup milk Soft triangles cheese 1 egg foe egg wash Sesame seeds Condensed milk for the topping https://instagram.com/eastafricanfood_?igshid=r83was1ly17j https://instagram.com/wardytor?igshid=6vi2miqh6eck

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4