المدة الزمنية 1:00

TANESCO YACHANGIA MATIBABU YA WATOTO WENYE KIBIONGO MOI

بواسطة Fullshangwe tv
68 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/06/28

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limechangia kiasi cha Shilingi Milioni Ishirini kwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), ili kusaidia na kuwezesha matibabu ya watoto wenye vibiongo katika hospitali hiyo. Hebu Msikilize Meneja uhusiano wa TANESCO, Bi. Johary hapa akielezea kuhusu mchango huo wa matibabu..............

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0