@popiya23683 years agoAisee Alikiba atanaki on top always. Sauti ni MashaAllah! Soothing voice no objections. Kiumeumana! Nyimbo nzuri bila kuwa uncomfortable to listen 3
@
@goddwynngereza45203 years agoKing wa ukweli ndio huyu!! Real appreciate you KIBBA
@
@pizzaz43333 years agoNyimbo mbili tu watu wame panic! 😂 KING kama KING 🙌🔥🔥 10
@
@kreamagdfsa16973 years agoNilisema mm KING👑 anakuja kuuwasha 🔥🔥🔥 3
@
@innobugobola16943 years agoNategemea bonge la video King Kiba Salute kwa sana ✔️✔️✔️✔️✔️!!!
@
@rajabubojoo94673 years ago kimeumanaaaaaa📢📢📢📢📢📢 3
@
@zainabubakari60553 years agoKimeumanaaaaaaaaaaaa NDOMBOLO FT SALUTE ndio.habari ya dunia kwa sasa 2
@
@fatmasalima38473 years agoLove you so much Ali kiba the👑❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 3
@
@RamazaniMulongeca3 years ago😂😂😂. Wameisoma namba, sio kwakuwakurupusha huko... WAMEPATWA NA MHAOOOOOO🤣🤣🤣🤣🤣 SEMA KIMEUMANA😂🤣😂 4
@
@emmanueljoseph25763 years agoKimeumana kweli hasa kwa baba na mwana patamu hapo acha bifu liendeleee tu kwani sh ngapi 10
@
@Ray-vk7bp3 years agoni vile mtu aelewi hii mtu imepata platform warmer music ikitoa album itakuwaje😂😂😂😂 naona kama watu wanaenda kupotea 6
@
@anga360updates43 years agoEt wafalme the king is one n is there to stay
@
@mwljuliuskiwovele2233 years agoDaaa Alikiba sio Mtu wa skendo anapofanya kazi zake ,sasa ngoja tuone watafika wapi aisee hao wanaojibizana ,Baba na Mwana,ila Harmonize anajishushia brand yake kwakuwa ilitakiwa atoe ngoma na atulie 1
@
@jumambarouk3 years agoHii ni kweli kimeumanaaaa yani namanisha upande wa pili wamepa mihaho 2
@
@abakuriatv33513 years agoAlikiba and rude boy Vs diamond platnumz 2
@
@mdalamgir-gu9hu3 years agoJamaa kaingia kwa award na nguo za kimasai dat y kimeumana...
@
@abdulazizabdallah98203 years agoTengua kauli MFALME ni mmoja tu KING KIBA sio "wafalme"usituzingue bwana 2
@
@mpendwalove43903 years agoAnatupa madongo but hajui kama Kamata ndo wimbo ambao unafanya vizuri kwenye platform nyingi sana
@
@sadikilumumba13703 years agoFrom Nashville Tennessee USA. Kwahili linalo hendelea kwawasanii hifike wakati sisi mashabiki. Tuhache utimu tuwashabikie wote kama ilivo kuwa zamani. Pia hawa machawa ndio wana tuchanganya sana. Una kutachawa anapewa gari sababu ya watukana wasanii wengine.tanzania mashabiki tujitambuwe kwa sasa. ...3
@
@JUNIOR-td2tw3 years agoAlie ona panya akifumuliwa baruti tujuane 2
@
@blastingpaintingservice85383 years agoZuzu Likuzuzuka Bac Zuzuka Nalo....King Kiba kaenda na Msemo huu🤣🤣🤣 1
@
@diamondplatnumz62743 years agoKimeumana afu mzee usiseme wafalme sema mfalme
@
@hailinhelen46753 years agoTanzania kumoto mpaka raha edeleeni hivi msistop kabisaa mwisho kutaneni uwanja wa taifa mpigane mangumi kisha muhishimiyane vizuri.. 1
@
@kimsarahfahyma56043 years agoMadale kunawatu tutawakuta mushwari🥴😀 roho mbaya sipati picha mungu wangu muni pumuzisheni kidogo jamani kwani nyie hamchoki mimi uku swiden moyo kwatu bongo kulivyo changamka wachonganishi mpo😀 semeni tena kimeumana kwa kelele 3🙌😀😆🥺 ...2
@
@kreamagdfsa16973 years agoKING👑 wangu mbona unaniangusha usifanye hivyo mm kama shabiki yako wa damu sijapenda hii
@
@selemanjuma15953 years agoKamata hao wanaotaka kuumana Kisha tuwaweke sero sisi huku hatuwezekani 1
@
@khamismbaruk00173 years agoKusema ukweli Alikiba ndio msani mkumbwa sana amerudisha heshima kwa bongo music ipo juu sio kuimba miziki ya watu wa congo na mpopo.popo 1
@
@babylonyNgwembe3 years agoTANGU DIAMOND AZIME DATA JAMAA ANAANGAIKA SANA KUJIBUST MWSHO ANAJIKUTA KIKI NA TRENDNG NI DIAMOND SO WACHA AJIBUST TU. 1
@
@Ascanmelody3 years agoApo poa simunakaa ngabo moja SnS
@
@zachariamachibola29413 years agoUnakosea kusma wafalme wakati mfalme ni mmoja tu king kiba
@
@4dakulture6513 years agoMbona amevaa kama jeshi...si jeshi ni mmoja 2
@
@martinaloo54443 years agoIle ngoma ya Diamond si poa hata kidogo. Grammy ataionea viusasa. Hizo mchezo ndogo za aibu aachie Harmonize akitaka kufika level za WizKid. Standards! 3
@
@simulizi26323 years agoSKY huwezi support hiyo video ya panya kumbuka kuna haki za wanyama na huyo Alikiba kama anauongozi mzuri wasingemshauri kuiweka. Maana anaweza kosa deals kubwa tu kwasababu hizi post. Hapo kakosea ila nyie watangazaji hamlioni hilo😳 ...
@
@nabowatz38683 years agoYan huwez amin diamond hana roho mbaya yani ata apendi wenzake wawe maboss mbn Kama pesa anazo bdo anatak awadidimize wenzke yana ata sitak nikutane na uyo kiumbe nimemchoka matendo yake sio yakuigwa kbs Kama ana watoto sa subil watoto wake wakue thn tiwatese na sisi duh uyu mondi acha apotee ndo tutakuw Kama wanaigeria Mana game litakiwa la wote sio shetani m1 ...5
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Alikiba arusha dongo ‘Sema kimeumana (kwa sauti)’:
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
aka bachuchu mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 15
SEMA KIMEUMANA😂🤣😂 4