المدة الزمنية 10:50

Waliotoka Mtwara mpaka Dar kwa baiskeli wamjibu Kikwete | Tumetumwa kichwa, mkia, utumbo na mapupu

بواسطة Dar24 Media
21 501 مشاهدة
0
109
تم نشره في 2020/01/02

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Yanga #Kikwete

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 51
  • @
    @clementhiddi1486منذ 4 سنوات Safi sana brother, jokes aside, you've talked sensibly as a sportsperson. 1
  • @
    @miriam5735منذ 4 سنوات Wa pili jamani like zangu, yanga baba lao 19
  • @
    @hosiananziku2261منذ 4 سنوات Safi sana Mwenyezi Mungu ajalie Afya njema mume kuwa mfano kuigwa tutafika tu.hatunatimu kuipenda tumeipenda wenyewe hatuna Timu nyingine yanga mbele nyuma mwiko. 4
  • @
    @husseinmohdbulushi1724منذ 4 سنوات yanga mnatisha
    simba wakae chonjo
  • @
    @ramadhanimahongole8764منذ 4 سنوات daah isee me ni simba lakin maneno ya huyu jamaa nimefurahishwa nayo kwani ameongea kiungwana sana 4
  • @
    @hamzashui576منذ 4 سنوات We mwenyewe unaongea umepoa hivyo Hahahaha
  • @
    @henedferej2201منذ 4 سنوات Hongereni mlibeba vzr majini
    yenu na tumeyaona naona mmeshakuwa mabingwa.
  • @
    @aboyfromkilosa4714منذ 4 سنوات Wakifungwa mtwara watapaona kama marekani vile daah sema apo ndo utofaut wa anayeishi kijijini na mjini unaoneka vidume vya mjini vimeshazubaa na daladala umpe baiskeli ata mkulanga hafiki
  • @
    @fahadfahmyمنذ 4 سنوات Safari kama hiyo halafu unakuja kufungwa sita,lazima wakati wakurudi utumie ndege. 1
  • @
    @vonexmobile9116منذ 4 سنوات Mkishapigwa 5-0 ndo utakubali mko baridi 4
  • @
    @samsonvyunga2370منذ 4 سنوات Siku yaja yanga mtalia na kusaga menoo 1
  • @
    @abdalahfarida2074منذ 4 سنوات Simba mtori tu hakuna kitu mbele ya umoja wa Wananchi. Wafadhili wa Yanga jitokezeni kikamilifu tuchukue ubingwa 2020. Timu ni nzuri pesa ndio hakuna.
  • @
    @hamisiramadhani6925منذ 4 سنوات Mkipigwa 6-0.. hizo baiskel mtaziacha Dar 3
  • @
    @aboyfromkilosa4714منذ 4 سنوات Ila huyu jamaa mtwara kahamia tu maana rafudhi yake sio ya mtwara 1
  • @
    @hamisiramadhani6925منذ 4 سنوات Hawa wametoka vijijini wamekimbia familia zao,maisha magumu
  • @
    @ibrahimkadibo810منذ 4 سنوات Simba ni mnyama na anajulikana, hilo jina la yanga ni kitu gani ni mdudu mjusi kimba au kigani.
  • @
    @ibrahimkadibo810منذ 4 سنوات Hiyo picha ndo ukweli wenyewe. Lkn GSM ni kisingizio.
  • @
    @ismailkasim7960منذ 4 سنوات Kama utapata na pumbu za manara nitunzie 2
  • @
    @hamisiramadhani6925منذ 4 سنوات Waongo wakubwa,,Nyie wamakonde ni wazushi wazushi,, mlipanda Basi.. Hili tukunyema haliwezi kuendesha Baiskeli,,