Unaweza kuwasiliana nasi kupitia;
Email: Rakimsspiritual@gmail.com
WhatsApp: +255 783 930 601
NYOTA YA PUNDA:
ARIES
Hii ni Nyota ya kwanza katika mlolongo wa Nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 21 March hadi 20 April au wenye majina yalioanza na herufi A au M na DH mfano Dhul Kifli.
Namba yao ya bahati ni 1,9,13 na 25.
Asili yao ni Moto,
nayo ni nyota dume.
(dume ikiwa na maana ya chanya/sio jinsia za wenye nyota)
Usawa wake ni Imara (UFALME)
Ni nyota ya utendaji,yenye nguvu,inafaa na yenye msukumo na nyota yenye matumaini,iliyowazi katika mabadiriko na hali mpya.
SAYARI YAO:
ni Mars (Mariikh) Marikh kwa historia za kale ni kuwa ni sayari ya Kiumbe wa vita,vurugu,uovu na ubaya.
katika elimu ya nyota hii husimama kama sayari ya hamu/shauku na upinzani huleta hisia za ajali na humiliki moto na Hatari.
ALAMA YAKE:
Kondoo dume: mkali,mkorofi,kingono,mwenye uwezo wa kupanda chart juu zaidi.
TALASIMU YAKE:
Picha inaYOwakilisha pembe na pua ndefu ya kondoo dume.
na pia inakuwa na muonekano wa nyusi na pua ya uso wa mwanadamu
na kichwa ni sehemu kuu ambayo sheria ya Punda inatawala yaani halmashauri ya kichwa).
maana nyingine talasimu yake ni mfano wa mwezi uliokatwa katikati na kuwa vipande viwili vilivyo karibiana ambayo inaonyesha ishara yake ya utawala na uongozi wa nyota hii.
NENO LAKE TAWALA:
MIMI hili ndilo neno tawala la Punda yaani umimi kwanza
Maarifa makuu kabisa ya punda ni ujasiri
Mara nyingi ni mtu mwenye ubinafsi wake haijarishi ataficha na kukataa kiasi gani.
Ni mbinafsi.
NYOTA INAYOENDANA ZAIDI:
Mizani au Libra
Punda ni nyota ya umimi kwanza watu wenye nyota hii wanatabia ya ubinafsi zaidi na wanaweza kuwa ni watu ambao wenye kuangalia maslahi yao wao tu.
Ambapo Mizani ni kinyume cha Punda ni nyota yenye kuweza kuing'arisha na ushirikiano na wenye nyota ya mizani hujihisi hawajakamilika bila ya mwenza au mpenzi. nyota hizi mbili zikiungana basi huendana vizuri zaidi basi huwa na nguvu maradufu, na hasa wakiungana kimapenzi basi hung'ara zaidi.
SEHEMU YA MWILI UNAYOTAWALIWA NA PUNDA:
Kichwa: Watu wa punda hukabiliwa na maumivu ya kichwa, na wanakabiliwa na majeraha madogo kuzunguka kichwa na uso wengi utawakuta na alama usoni
SIKU YAKE NZURI:
Siku nzuri katika wiki kwa wenye nyota hii ni Jumanne
MALAIKA:
Malaika anayetawala au kuangalia nyota na sayari yake anaitwa Izrael,
ambaye ni malaika mtoa roho za watu,
JINI WA NYOTA HII:
Jini wa nyota na sayari hii anaitwa Abuu Muhriz al Hammar au Mwenye mavazi mekundu.
SHETANI WA NYOTA HII:
Phaleg kiswahili wanamtambua kama SUBIYANI pia ni mwenye mavazi mekundu.
MANUKATO
Manukato au Perfume yao ni Marashi ya Asali (Honeysuckle)
KIPAJI CHA PUNDA
Wenye nyota hii wana kipaji cha Hisia, ni rahisi kwao kutafsiri jambo lolote, wanaweza kwa urahisi kutafsiri ndoto, vilevile wana kipaji cha kusikia sauti ndani ya kichwa kuhisi jambo litakalotokea na ikawa kweli.
Ikiwa watafanya Taamuli (Meditation) kwa dakika ishirini wakati wa usiku au kitu cha kwanza wanapoamka asubuhi, akili na miili yao itatulia na watapata ufunuo wa mambo mengi sana.
TABIA ZAO KIMAUMBILE NA KIMAPENZI:
Punda ni wakali na wachangamfu, wenye hisia na wanaoweza kujieleza wakiwa na hali ya kufanya chochote. “SASA HIVI” hayo ndio mambo wanayotaka kusikia.
Ni watu wasiokuwa na subira, kila kitu kinafanyika kwa msukumo na haraka haraka. Ni viongozi majasiri ambao hawaoni karaha kuchukua majukumu, wakati wote wanajiona kwamba “Wanajua sana”.
Kimapenzi Punda ni watu wenye mapenzi motomoto, tatizo lao kubwa hawapendi kusikiliza ushauri wa kimapenzi, na hawakubaliani na mambo nusu nusu. Ni watu wenye kutegemea mazuri wakati wote na hawakubali kushindwa. Hupenda kukimbilia katika mapenzi bila kufikiri, wanapohisi wamepata mpenzi wa kweli. Ni wepesi kuvutwa katika mapenzi na wenye miamko ya ghafla au misukumo ya kiwazimu ambayo wakati mwingine inawafanya waonekane wapumbavu.
KAZI NA BIASHARA ZA PUNDA :
Wote wake kwa waume waliozaliwa katika nyota hii wana kipaji cha asili cha uongozi na wasiwasi wa kushindwa katika utekelezaji. Kazi zinazowafaa ni Jeshi, Kazi za Uokoaji, Michezo, Uuzaji, Upasuaji, Kufundisha (Ualimu), Masuala ya Fedha. Biashara za kubadili fedha,Biasharaza kuuza vifaa vya michezo, biashara za vifaa vya shule au maduka ya madawa.
MAVAZI NA MITINDO:
Mavazi yao yanatakiwa yawe ya mitindo mikali na tofauti, yenye kuchangamsha na Kusisimua ya rangi nyekundu.Vitambaa vyao viwe vya sufu (wool), Fulana, na vitambaa vilivyo na kishiwa kwa nyuzi za rangi ya chuma. Wasikose kuvaa kofia, wanawake wapendelee sana kuvaa na Suruali
Rangi yao ya Bahati ni Nyekundu na maalumu zaidi kwa maana huwakilisha moto ambao ni asili ya Punda,
Rangi zinazowafaa kwenye Nyumba au Vyumba vyao ni rangi nyekundu (Scarlet).
Rangi zinazowapa uwezo wa mapenzi, mahaba na furaha ya kujumuika na watu ni rangi za kijani na kijani kibichi. Rangi inayowapa uwezo wa kifedha ni rangi ya Kijani
@JimmyKirumbi-ys4czقبل 8 أشهرDaah yaani hujakosea hata kimoja pongezi kwako 2
@
@Angeljoel-xn1jxقبل 4 أشهرNaitwa ester mama angu anaitwa Elizabeth mi nimezaliwa tareh 26. 4 .1998
@
@manmkwanyu3525قبل 8 أشهرMimi naitwa masudi mama angu jamila nimezaliwa mwaka 1998 tarehe 21 mwezi wa 7 je nyoota angu nyota gan kiongozi wangu asantee
@
@user-mk7hk5dp2oقبل 5 أشهرNaitwa abdull rahman nimezaliwa 2006 October 30 na mamangu anaitwa zeinab nyota yangu n gani tafadali kaka 1
@
@user-fh7sp6kz3fقبل 4 أشهرMim naitwa mwanahamisi mama yangu anaitwa Mariam
@
@user-ho1cj3es8dقبل 8 أشهرUmeeeleza sahihi hata kazi na biashara
@stellafiyao4945قبل 5 أشهرMm naitwa Felix mama yangu anaitwa Sophia nataka kuijua nyotayangu.
@
@boscodickson1014منذ 2 سنواتNaitwa bosco mama angu a naitwa mbusuro naomba nimezaliwa tarehe 9 mwezi 12
@
@rukaiyaothmani5344منذ 2 سنواتAsalam aleykm natumai umzma mi naitwa mwanakombo nimezaliwa mwezi 4 tarehe sifahamu mana sikuwai kuwai kuishi na family yangu naitaji kufahmu
@
@hawapili-in5fhقبل 6 أشهرNimezaliwa tarehe 7/10 mama yangu anaitwa fatuma mimi naitwa hawa
@adjaibrahim2174منذ 2 سنواتShukurani kaka yangu nimekupata 100 kwa 100 1
@
@hellenmwenda4971منذ 2 سنواتMimi jina langu ni mwenda lakuzaliwa na Helen ni lakubatizwa nilizaliwa tarehe 13 /9/1982 nyota yangu ni ipi mama jina lake k 1
@
@user-ht3if3nu1sقبل 3 أشهرMimi naitwa shija kulwa mama yangu anaitwa katalina nimezaliwa 2 tarehe sijui mwaka 1991 sijui nyota yangu 1
@
@adventjulius4822منذ 2 سنواتNaomba msaada wa ufafanuzi wa nyota yangu
@
@milongojumanne7834منذ 2 سنواتNaitwa milongo ,mama yangu anaitwa tatu nimezaliwa July 10 ,nyota yangu ni ipi 2
@
@nahishakiyeassuman5541منذ 2 سنواتMimi naitwa athumani Mama yangu Amina apo nyota yangu ipi 1
@
@user-yu2ep5js1kمنذ 2 سنواتMm naitwa mwanasiti mama yngu mwanaulu nlizaliwa 8 mwez wa 10 .1991 1
@
@adventjulius4822منذ 2 سنواتAdvent tarehe 17/7/1994 jna la mama twelwike
@
@prettymillah-ls7ucقبل 9 أشهرMimi Amina nime zaliwa 19/10/2001 mama yang joha
@
@jumahagai9013منذ 3 سنواتMim ni amina mama yangu ni asha naomba unijuze
@
@arrestedpamba6304منذ 3 سنواتmkuu naomba kujua kuhusu mlango wangu wa nne
@
@allymloti7738العام الماضيMimi naitwa ally mama asha nyota yangu ipi
@mariethadavid8143منذ 3 سنواتNaitwa marietha mama yangu anaitwa Anusiatha nimezaliwa tarehe 14/01/1997 naomba unisadie kuijua vyota yangu
@
@dopking3873منذ 3 سنواتMkuu mimi nataka kujua nyota yangu naitwa yasini jina la mama zainabu
@
@subirahussein1630منذ 3 سنواتJina langu subira mama yangu zakia tarehe ya kuzaliwa 25/05/2001 je nyota yangu ni yepi
@
@dopking3873منذ 3 سنواتIla tarehe halisi niliozaliwa siifahamu
@
@juniaallbright9453العام الماضيMimi naitwa , Bonfils albert , mama yangu anaitwa Adella Daniel nilizaliwa 02-05-1998
@
@clauzeraugustine9705منذ 2 سنواتNaitwa clauza nimezaliwa 27/7 mama angu anaitwa Nuru
@
@hamidamrisho832منذ 2 سنواتNaitwa Aisha mama yangu anaitwa Hamida.nimezaliwa tar 25/2/1997.je nyota yangu n ipi
@
@mercymerab7421منذ 3 سنواتMimi n mercy natakujua nyota yangu jina la mama n Rose asante 1
@
@deusimwaka8407منذ 3 سنواتNaitwa Amedeus mama yangu marselin nimezaliwa tareh 10.1.2002 ni ya nn nyota yangu samahan
@
@TumainiJosephatimwasileالعام الماضيSamahani kama mtu ajui ta rehe aliozaliwa tareh mwez mwaka naombauniangalizie nyota yangu ilamajina yawaza zazi siyajui yote kamili naitwa Tumaini. Josephati id="hidden1" class="buttons"> Mwasile baba yangu anaitwa Josephati Mwasile na mama yangu anaitwa Edina Juliasi nakuomba sana lafiki ....وسعت
@
@antoniavictorin6006منذ 3 سنواتKaka habari mm naitwa Antonia mama yangu anaitwa Yolanda nilizaliwa 04/01/1997 naomba uniangalizie nyota yangu inasemaje 1
@
@taifatvonline7233منذ 3 سنواتmimi jina ni DEODATUS na mama yangu ni chrstina nimezaliwa 4/4/1993
@
@sarahmbunju412منذ 3 سنواتNaitwa asha mama angu anaitwa mchanga nimezawa tarehe 21/2 je nyota yangu ni ipi asante
@
@HosianaGodfrey-wo9nfقبل 9 أشهرNaitwa Hosiana mama yangu ni Elhaika nimezaliwa december 1 1991 je mim natakiwa mme wangu awe na myota ipi coz nina mahusiano na mwenye nyota ya punda
@
@beautyibrahim8428منذ 3 سنواتMimi naitwa mary nimezaliwa tar 25/9/1994 mama yangu anaitwa ruth msaada plz
@
@AlfredFrance-tu7jgالعام الماضيKk nimeji funza ilanapenda kuji sibitsha kama nikweli mm ninanyota yapunda dat,,24/12/1990je nikweli
@
@mosesjohn4120منذ 3 سنواتBro me naitwa Moses mama Ni Sarah limezaliwa tareh 29/09/2002 nyota ynag Ni ip bro 1
@
@user-zp6ct5bs8tقبل 6 أشهرNaomba namba zako za WhatsApp nikutafute
@
@angelaalphonce3599منذ 3 سنواتMimi naitwa Angela,mama yangu ni Elizabeth na nimezaliwa tarehe 02/06/1991,nyota yangu ni ipi? 1
@
@user-lv6oo9dx3tقبل 10 أشهرPete yenye vito vya rangi gani wenye nyota ya punda
@
@mariambui571منذ 3 سنواتUmesema ukweli kabisaaa kuhusu nyota yangu punda 1
@
@marthamwanyasi7449العام الماضيMimi naitwa Martha mama yangu anaitwa Tunganeghe nimezaliwa tarehe 05/07/1995.naomba kujua nyota yangu
@
@innocenthonest8057منذ 2 سنواتMm nyota yangu no ya kwanza ya punda Mambo yangu ayaendi kabisa na napenda sana kubeti
@
@amirikaboka1065منذ 3 سنواتKaka naitwa amiri mama yangu anaitwa rehema nimezaliwa tarehe 29/12/1995 nakuomba unijuze kusu nyot yang lang yak usika ya nyeot yang
@
@zenahmaloba2منذ 3 سنواتMimi naitwa zena mama yangu anaitwa neema, nimezaliwa 2/5. Je nyota yangu niipi?
@
@elialussingu461منذ 2 سنواتNaitwa Elia, nmezaliw January 02, je nyota yangu niip????,
@
@mariamomar7984منذ 3 سنواتNaitwa maryam nimezaliwa 10/11 mama yangu mwanzo alikua anaitwa katarina aliposilimu akaitwa AMINA nilikua naomba unambie nyota yangu