المدة الزمنية 3:29

MOYO WANGU UMEKUAMBIA EE BWANA MUNGU WANGU - NYIMBO ZA KWARESMA

75 529 مشاهدة
0
171
تم نشره في 2019/03/01

Tunakukaribisha ndugu mtazamaji katika kipindi hiki cha kwaresma uweze kutafakari nyimbo hizi maalum kabisa kwa ajili ya kipindi hiki. Nyimbo zimerekodiwa na kikundi cha TUMAINI CATHOLIC SINGERS kutoka jijini Dar es Salaam. Wpigie simu namba 0755 816669/0768 756077 Kupata nakala hii. Maneno ya wimbo Kiitikio: Moyo wangu umekuambia ee Bwana Mungu wangu x 2 Uso wako nitautafuta, ee Bwana unihurumie. Usikie ee Mwenyezi Mungu ninavyokulilia x 2 Mashairi: Unionee huruma ee Bwana Mungu wangu, ninakuja mbele yako ee Bwana Mungu wangu, kwa ajili ya makosa yangu, kwa ajili ya makosa yangu, usinihukumu Bwana. Usinitupe ee Bwana mimi mtumishi wako, usiniache ee Bwana mimi mtumishi wako, kwa ajili ya makosa yangu, kwa ajili ya makosa yangu, usinihukumu Bwana. NOTA ZA NYIMBO http://www.swahilimusicnotes.com/wimbo/moyo-wangu-umekuambia-joseph-d-mkomagu/1716

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 23