المدة الزمنية 2:43

KAULI ya YANGA Kuhusu SHIKALO, MKWASA Ataja TATIZO Lake - Tunacheza Burudani

بواسطة Global TV Online
29 377 مشاهدة
0
125
تم نشره في 2020/01/30

KAULI ya YANGA Kuhusu SHIKALO, MKWASA Ataja TATIZO Lake - "Tunacheza Burudani" KAIMU Kocha wa Yanga Charles Mkwasa amesema kuwa kikosi cha Yanga kinaendelea vizuri na mazoezi yake baadab ya mapumziko ya siku mbili na kuelekea mechi yao dhidi ya Mtibwa sugar ambayo itapigwa Feb 02, mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Pia Kocha Mkwasa amesema kuwa kukosekana kwa shikalo ameomba ruhusa ya kwenda kwao kwaajili ya matatizo ya kifamilia huku akiwaomba wanachama kujaa kwa wingi katika uwanja wa Taifa ili kupata mpira wa Burudani. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 25