المدة الزمنية 7:13

ASKOFU GWAJIMA BUNGENI LEO HII HAIKUBALIKI KWA WAKATI WOWOTE HAPA NCHINI

بواسطة Millard Ayo
185 745 مشاهدة
0
1 K
تم نشره في 2021/02/04

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima ni miongoni mwa Wabunge ambao leo February 4 2021 wamechangia mjadala kuhusu hotuba ya Rais John Magufuli aliyoitoa wakati akizindua Bunge la 12, Askofu Gwajima amesema mgawanyo wa usimamizi wa barabara nchini hauendani na kiwango cha mgao wa asilimia 30 ya fedha za barabara wanazopewa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 323
  • @
    @ericklaura7511منذ 3 سنوات thank hon Gwajima for the poweful insight 13
  • @
    @joycecharles7821منذ 3 سنوات Education is the key of mind. Bigup Gwaji 8
  • @
    @paschalrutashoborwa7976منذ 3 سنوات Ahsante sana mhe_Askofu Gwajima kwa kutetea barabara ndani ya miji,manispaa kutengewa bajeti nzuri ili ziweze kutengenezwa, na huko ni maeneo ambako watu wanaishi,pamoja na shughuli nyingi za kilimo,ufugaji,bihashara. 10
  • @
    @oscarmwakisyala17منذ 3 سنوات Mmm,! Gwajima boy. You have got an international representation from your speech. Congratulation. 1
  • @
    @mpogomialexandermussa248منذ 3 سنوات Hongera mheshimiwa Gwajima kwa hotuba yenye kiwango na ubora, 7
  • @
    @mchomvuelias64منذ 3 سنوات This is lecture, which I think is necessary. 1
  • @
    @fatumahassan8212منذ 3 سنوات Huyo ndiyo mheshimiwa Gwajima naimani utatenda haki kwa wananchi wa kawe una uelewa mpana big up Mheshimiwa Gwajima. 16
  • @
    @peterkatete5645منذ 3 سنوات Hon. Dr Gwajima nimekwelewa ningekuwa mimi ningekuweka kwenye kamati ya hukohuko Talula. Asante mwalimu kwa lecture.
  • @
    @jabalimikechi7750منذ 3 سنوات Wow I didn't know this man of God was this bright.kawe wana bahati sana na tz piya 9
  • @
    @angelqwaray9174منذ 3 سنوات Hongeraa askofu kweli ndani yako unaroho wa Mungu waombee bunge la 12 itakuwa takatifu baba mzuri sana wewe 12
  • @
    @josephkasika6755منذ 3 سنوات Smart Guy, niongezee pia Joseph Nye alifafanua vizuri zaidi kwenye Strong Power or Hard Power, Soft power na Smart power kuednelea world power from western to eastern Asia. 2
  • @
    @furahafrank8267منذ 3 سنوات Wewe unaweza hii kazi kila siku unaongea point. 35
  • @
    @gilukwayoegine3145منذ 3 سنوات how can some one dislike this sense point like this? it means some people they 're enemies of success! 10
  • @
    @marcondokeji8982منذ 3 سنوات Hongera sana mheshimiwa Gwajima, you speak point always. 4
  • @
    @haysanhassan2685منذ 3 سنوات Gwaji confidence ya kutosha kama yupo bungeni miaka 30 iliyopita 7
  • @
    @aishaasumany561منذ 3 سنوات Mashaallah wwe uko sawa umemshinda mpaka mama samia mashaallah mungu akueke nahasidi
  • @
    @zariadunia6328منذ 3 سنوات Mbunge sahihi kea wakati sahihi sikutegemea Kama Askofu Gwajima atakuwa kifaa Kama hivi Gwajima Asante Sana mh you are a smart MP 5
  • @
    @miriammollel1755منذ 3 سنوات God bless you servant of living God. Gwajima boy.
  • @
    @francisrobert9652منذ 3 سنوات Askofu Gwajima unatisha ulikuwa wapi siku zote upo strong kawe wamepata mbunge big up unapoongea unaeleweka 1
  • @
    @gracekagoma3231منذ 3 سنوات Ndiyo faida ya kuwa na wabunge wasomi.Gwajima Ahsante Sana
  • @
    @ezrashemayo9092منذ 3 سنوات Gwaji boyyyy ana vitu vyake personal yani huwez vipata bila kufukunyua 23
  • @
    @doreenfrancis6977منذ 3 سنوات Hongera Sana mweshimiwa kwa hoja nzur naimani maendeleo ya Jimbo la kawe yapo karibu Asante Yesu
  • @
    @augustinojonh600منذ 3 سنوات Kasha mpiku Halima mdeee. Naona halima mdee anaona aibu. 2
  • @
    @gibishinchambi1971منذ 3 سنوات Kwanini tulichelewa kukukpata Gwajima? 16
  • @
    @wilonjahatua2067منذ 3 سنوات Huyu jamaa kama wangemyima ubunge ningesikitika sana kifuupi namkubali sana huyu mwamba namengi yakujifunza kwake 23
  • @
    @villagelife_0034منذ 3 سنوات Safi Sana jamaa la Kula kondoo wake. Una points kuntu Sana. 1
  • @
    @colinmhema530منذ 3 سنوات Nanyinyi manashukuru kwa sababu mmekokotwa mkabebwa na tume mkafikishwa bungeni na sasa mnamshukuru 2
  • @
    @shabaniguma8696منذ 3 سنوات Yani kuna point gwaji boy alitaka kasema ila ndugai kamzuia kuhusu Corona mficha maradhi. 4
  • @
    @mosesevarsta2578منذ 3 سنوات Mungu mtee. Mtumishiwako. Amalize. vizuri. Gwajima
  • @
    @rehemandam2366منذ 3 سنوات Yaani Gwajima ni mtu mnafiki sana hapa Tz.
  • @
    @christopherhadson7743منذ 3 سنوات Hahahahaaaa ikumbukwe kuwa mbunge ni cheo kidogo sana leo je nibora ukasema mungu yupo ukafika hayupo klko kusma mung haypo ukafka anakusbr hatr sana mtumish
  • @
    @rehemacharles6159منذ 3 سنوات Bunge linanoga sana tukiwa na viongozi kama hawa 6
  • @
    @peterphillipo6477منذ 3 سنوات Very nice smart Hon. JOSEPHAT GWAJIMA, mapepo na wachawi tu ndio hawakupendi 5
  • @
    @saidhuma9171منذ 3 سنوات Mh gwajima ulistahili uwaziri kabsa, Dah unaweza kwelikweli 7
  • @
    @hassanussein1817منذ 3 سنوات smart power : unawabuluza na unawabembeleza kisha unawapata ushindi 5
  • @
    @abdallahantony9524منذ 3 سنوات Kwaiyo Aakof kakubali kunamuda tunaburuzwa sio 2
  • @
    @Hillary_Daudi_Mremaمنذ 3 سنوات Raisi Magufuli is Smart Power = Strong Power + Soft Power. 3
  • @
    @evancemakusa9350منذ 3 سنوات Miaka ijayo njoo kibamba nakukubari Sana 10
  • @
    @abelmtachoka7597منذ 3 سنوات Gwajima kichwa aseee,!! Mmmh! Points tupu!
  • @
    @noonelike6382منذ 3 سنوات Ahhhhhhjjjj. Muheshimiwa sijapennda ulipo mkatisha gwaji. Alikuwa anakwenda patam kinyama yani . dahhhh. Kaishia Neno korona dahhhh 2
  • @
    @hizim6699منذ 3 سنوات Walikua wanakuita gwajiboy mhe, maisha haya
  • @
    @expert5898منذ 3 سنوات Hamna kitu hapo. Yeye ni kusifia tu! Hana issue zozote za maendeleo ya taifa. Boya tu huyo.
  • @
    @duweetherapytalk4656منذ 3 سنوات Unaongea kisomi. Statiscal approval, definitely unahitajika kuwa waziri . 6
  • @
    @eventelias3566منذ 3 سنوات Watu wa Simba msichanganye siasa na michezo tafadhali. 1
  • @
    @nyamogafamily4262منذ 3 سنوات Dah akajua yupo kanisani et,mazungumzo mpaka unakatishwa.
  • @
    @nikodemmwahangila3334منذ 3 سنوات Saafi askof ndiomaana niliomba uingie bungeni tunajua Mungu yupo ktk bunge letu 3
  • @
    @erickothegreat8353منذ 3 سنوات Watu wanao soma vitabu Uwezi kushindana nao Kwenye kujenga hoja. 1
  • @
    @lugendopius1231منذ 3 سنوات Gwajima utafikiri ulikuwepo bungeni miaka na miaka safi sana unaongea kweri kabisa. 3
  • @
    @ahmuhally4430منذ 3 سنوات Gwajima yuko vizuri sana ila tatizo lake ni Mdini sana anawachukia Waislamu 2
  • @
    @massmedia8711منذ 3 سنوات Hapo kwenye corona ndio niliongeza sauti, ghafla nikasikia kakicheko kwa karibu sana huku kakisema dk 5 zimeisha
  • @
    @stellamwasenga6205منذ 3 سنوات wahi kwenye hoja kaka achana na kusifu tu
  • @
    @isayakihongile4921منذ 3 سنوات Nyie pasua kichwa Mara muisifie serikali Mara mlalamike hakuna fedha za barabara,maji,hospitali na shule siwaelewiiiii 3
  • @
    @stephenwakunyala8617منذ 3 سنوات Tunajua umebebwa co elekea ktkt poiti sio mpaka umsifie 1