المدة الزمنية 3:10

TAMBO za HAJI MANARA Baada ya KUICHAPA AL MERRIKH - TUMEFUNGWA na CHIKWENDE TU ,TIMU NZURI..

بواسطة Global TV Online
47 514 مشاهدة
0
300
تم نشره في 2021/03/16

TAMBO za HAJI MANARA Baada ya KUICHAPA AL MERRIKH - "HAKUNA TIMU INAYOTUZIDI" MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Haji Manara, ametamba kuwa kwa sasa Simba ndio timu bora kwani mpaka sasa imecheza mech nane na imeruhusu bao moja tu.. Tambo hizi zimkuja baada ya leo Machi 16, Simba kuilaza Al Merreikh ya Sudani kwa mabo 3 kwa bila katika dimba la Mkapa, Dar es salaam.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 34
  • @
    @UlimeAمنذ 3 سنوات Amen.
    Kama Mungu ametuandikia.
    Kila la kheri SIMBA nguvu mojaa
    3
  • @
    @babakeicyklein2820منذ 3 سنوات Manara where can we buy Simba T shirts in USA
    We not from Tanzania but we love Simba
  • @
    @babakeicyklein2820منذ 3 سنوات We are not Tanzanians but we love Simba
    We in USA
    Where can we buy Simba T shirts in USA
  • @
    @eliasnyondo5528منذ 3 سنوات Mech 2 zilizobak tupambane tupate pont 6 zote
  • @
    @dossa554منذ 3 سنوات huy anay challenges lugha itkw mwana yanga
  • @
    @mkemiamagege8477منذ 3 سنوات Hata kipindi kile As Vita tuliwatoa walijua watapata point nyumbani kwetu na wakati huu wasifikiri watapata points nyumbani. Waje na hasira sisi tunawanyonyoa id="hidden1" class="buttons"> manyoa, Simba ananjaa wakati huu tukiwa tunaelekea Kiangazi. Vita hasije na hasira zake za Kikongo akajua atashinda. Kama ni hasira angezifanya akiwa nyumbani kwake dhidi ya Al Ahly ....وسعت
  • @
    @SIRNDIZOمنذ 3 سنوات Nakubal wanang wa pale msimbaz kariakoo tupo xambamba simbaaaaaaaaaah 4
  • @
    @fredymkanzaمنذ 3 سنوات Kingereza kimekuwa changamoto sana bongo
    Jamaa anasema bado match mbili
    Moja away instead word , Abroad. Not away. Match moja inachezewa Abroad.
    Moja Nyumbani