المدة الزمنية 3:12

TAZAMA | MAAGIZO YA CDF MABEYO BAADA YA KUZINDUA KITUO CHA BURUDANI JKT

بواسطة Daily News Digital
1 319 مشاهدة
0
12
تم نشره في 2021/10/31

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi jenerali Venance Mabeyo ameviagiza vikosi vyote vya jeshi la kujenga taifa nchini kuendelea kubuni miradi itakayoongeza uzalishaji wa mazao mbalimbali pamoja na miradi ya biashara ili kuliwezesha taifa kuwa na usalama na uhakika wa chakula. Jenerali Mabeyo ametoa maagizo hayo jijini dodoma wakati akizindua kituo kipya cha burudani cha jeshi la kujenga taifa makao makuu ya nchi na ukumbi mpya wa mikutano na shughuli za kijamii katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi waandamizi wa jeshi. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176 ... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig ... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid ... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2